Biashara ya Uber, Bolt?

Biashara ya Uber, Bolt?

Streptokinase

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2018
Posts
276
Reaction score
436
Heshima zenu wakuu.

Naomba kujua utaratibu wa kufuata ili kuisajili gari kama Uber/Bolt.

Na pia gari nzuri kwaajili ya kufanyia hii biashara kati ya Passo, Ist, au Vits.

Natanguliza shukrani.
 
1.Gari lako liwe limetengenezwa kiwandani kuanzia mwaka 2001,aidha iwe sedan au hatchback itapendeza zaidi,na liwe na uwezo wa kubeba abiria wanne.

2. Utahitajika kubadilisha usajili wa gari lako kutoka kuwa private car hadi commercial car hivyo kadi ya gari lako itabidi ukabadili ikiwa ni pamoja na number plate kuweka nyeupe.

3. Kama utaendesha gari wewe mwenyewe inabidi uwe na driving licence with class A B C1 C2 C3 D na E pamoja na hati ya kipolisi ya tabia njema,"police clearance certificate" inayotolewa makao makuu ya polisi.

4. Uwe na smartphone.

5. Uwe ni mkazi wa jiji la dar.

6. ukikamilisha vigezo wafate ofisini

alishawahi kuandika Joowzey
 
Asante sana mkuu.
 
Asante
 
Back
Top Bottom