Morning_star JF-Expert Member Joined Apr 21, 2018 Posts 6,042 Reaction score 17,320 Dec 30, 2019 #1 Naomba mwenye uwelewa na uzoefu wa biashara ya usafiri wa UBER anijuze please! Inaendeshwaje na mimi napataje commission yangu?
Naomba mwenye uwelewa na uzoefu wa biashara ya usafiri wa UBER anijuze please! Inaendeshwaje na mimi napataje commission yangu?
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Dec 30, 2019 #2 Kuna nyuzi nyingi humu za Uber na nduguze, jaribu kutafuta utakutana Nazo, zitakusaidia.
W Wise J Member Joined Jul 31, 2019 Posts 47 Reaction score 112 Jan 16, 2020 #3 No retreat no surrender said: Naomba mwenye uwelewa na uzoefu wa biashara ya usafiri wa UBER anijuze please! Inaendeshwaje na mimi napataje commission yangu? Click to expand... weka wazi wewe hapo unatoa Gari au ni dereva au km nan weka wazi nijaribu kukuelewesha
No retreat no surrender said: Naomba mwenye uwelewa na uzoefu wa biashara ya usafiri wa UBER anijuze please! Inaendeshwaje na mimi napataje commission yangu? Click to expand... weka wazi wewe hapo unatoa Gari au ni dereva au km nan weka wazi nijaribu kukuelewesha