Sina uzoefu wa kutumia gas Ila hapa maeneo ya uwanja wa ndege wanafunga mfumo wa gas unaweza kufika ukauliza wakakupatia taarifa kamili. Wapo mkabala na kituo Cha daladala kinaitwa posta.
Gesi kwa bolt inafaida kama gari ni lako, kama si lako pesa ya rejesho inaongezeka so inakuwa burden kwa dereva
Gesi kwa bolt inafaida kama gari ni lako, kama si lako pesa ya rejesho inaongezeka so inakuwa burden kwa dereva