Biashara ya uchoraji wa picha za sanaa ina faida?

Biashara ya uchoraji wa picha za sanaa ina faida?

Mechanic 97

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2021
Posts
854
Reaction score
1,296
Wakuu Ina kuaje hapo kama mtu atataka kupata walau Hela ya kula tu kama 100k Tsh. Kwa biashara hii ya uchoraji wa michoro ya kiufundi kama vile ramani za nyumba na etc
 
Ramani za nyumba ? ongea na ma architect watakuwa wanajua zaidi as hio ndio industry yao...., Ushauri tu kwenye haya mambo uwe na passion na mapenzi na kazi yako hata kama usipopata pesa (monetary) utazuusika na roho yako
 
Wakuu wazoefu na hii biashara vipi Ina lipa walau mtu apate hata 100k Tsh ya kula tu?

Kama sawa basi naombeni mchanganuo wa hata vifaa vya kuanza navyo
 
Miji ya kitalii I mean wazungu ndio huthamini art work..

Mimi huwa naamini kwenye wazi la mtu pia kubali kuanzia Chini pili fanya kazi classic Sana jitangaze for sure ndani ya miaka miwili utaona matokeo yake...

Wengine huwa tunatoboa kwenye tundu la haiwezekani..
 
Back
Top Bottom