Biashara ya ufagaji wa nguruwe

Biashara ya ufagaji wa nguruwe

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,298
Reaction score
7,612
Wengi Tumekuwa Tukipambana Maishani Tukifikiria Kuwa Biashara Au Ajira Ndo Vinaweza Kututoa Maishani Mwetu Huku Tukisahau Au Kudharau Baadhi Ya Fursa Zilizopo Mbele Yetu

Nikuombe Kijana Mwenzangu Mwaka 2025 Jaribu Kufanya Ufugaji Wa Nguruwe Kama Sehemu Ya Fursa Namba 2 Ukiacha Hicho Unachofanya.

Ikiwa Hauna Mtaji Mkubwa Basi Usinunue Nguruwe Na Ukawanenepesha Kwa Ajili Ya Kuuza Kwani Hutoona Faida Kwakuwa Watakuwa Wachache Na Utatumia Gharama Kubwa Kuwanunua Ila Cha Kufanya Nunua Wachache Halafu Zalisha Watoto Na Ndo Ufuge Kwa Kuwanenepesha Ili Uuze Kwa Ajili Ya Nyama Hapo Utapata Faida Kwani Utakuwa Hujanunua Vitoto.

NIKUPE MCHANGANUO MZURI HAPA CHINI.

1.Ukiwa Na Jike 3 Wanaweza Kuzaa Watoto 20 Kwa Uzao Wa Kwanza Ndani Ya Miezi 9 Toka Ulipowanunua Na Hapo Kama Unataka Ufuge Kwa Kunenepesha Unaweza Kuamua Either Ufuge Wote Au Uuze Watoto 10 Ili Upate Chakula Cha Kuwatunzia Hawa Wengine.

2.Unaweza Kuamua Uwe Unauza Watoto Kila Unapozalisha Mfano Hao Jike Watatu Wazae Watoto 20 Uzao Wa Kwanza Na Ukawatunza Vizuri Halafu Uwauze Hata Kwa Laki Moja Tu Hapo Unapata Milion 2 Za Chapu
😂
😂
😂
Na Uzao Wa Pili Wa Nguruwe Wako Lazima Watazaa Watoto Kuanzia 10@1 Ambapo Mara 3 Watakuwa 30 Ambayo Ni Milioni 3 Na Kumbuka Nguruwe Ukienda Naye Vizuri Kwa Mwaka Anazaa Mara Tatu Ukijumlisha Hapo Kwa Mwaka Unatoboa Na Tsh Milioni 8 Ya Nguruwe 3 Wastani Wa Milioni 2.7 Ya Kila Nguruwe Huku Mtaji Wako Wa Mama Zao Unakuwa Bado Unao.

Fanya Sarakasi Zote Kwenye Hiyo Nane Toa 3M Iwe Ya Matunzo Wewe Baki Na 5M Vipi Hununui Kiwanja Best Au Huanzi Kujenga? Au Husomeshi Wanao Au Nisikupangie
😂
😂
😂
😂
😂
.

NAMNA YA UENDESHAJI WA MRADI WAKO.

Nguruwe Ni Kati Ya Mradi Ambao Haukuhitaji Wewe Kwa Asilimia 100% Muda Wote Ila Unahitaji Ukaribu Katika Chakula Kizuri ,Kuzingatia Sindano Za Minyoo Na Vitamin Na Kama Kuna Changamoto Nyingine Kiafya Na Kuhusu Kulisha Unaweza Kuamua Wewe Umlishe Mara 2 Au Mara 1 Kwa Siku.

Hii Inamaanisha Hata Kama Utaweka Mtu Aliye Makini Katika Kulisha Na Kujua Dalili Mbalimbali Mbaya Za Nguruwe Basi Utafanikiwa Pia Maana Hawana Changamoto Kubwa
🙏
🙏
🙏
🙏
🙏
Na Hata Kama Unalisha Mwenyewe Hawakuchukulii Muda Wako Pia.

Kwa Unayetaka Kuuza Wa Nyama Basi Ukizalisha Watengenezee Mabanda Hata Ya Kukaa Nguruwe 5 Kila Banda Ukiwatofautisha Majike Na Madume Au Madume Unayahasi Hii Itaepusha Mimba Zisizotarajiwa Na Hata Madume Kunenepa Sana Na Ikiwa Una Mbegu Nzuri Sana Basi Ukiwafuga Vizuri Ndani Ya Miezi 8 Unaweza Kuuza Kuanzia Laki 3.5 Mara Ulionao Mie Simo

😂
😂
😂

NB:Soko Limechangamka Na Hata Ukitaka Kuuza Unaweza Kuuza Wote Mpaka Mbolea Tofauti Na Biashara zingine Huwezi uza Mzigo Wote Dukani Ukabaki Na Shelvu Tu

nguruwe.jpg

🤸
🤸
🤸
 
Back
Top Bottom