APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,715
Bei ghani?Hot browser,gan,meza,tools,soliding paste,Nk
Nilimuuliza akasema havijui kwa jina,sasa huo ufundi kajifunzaje???isije ikawa ni mihemko tu anaona mwenzake anapata mpesa kibao akapata tamaaUmesema dogo alijifunza ufundi maana yake ni kwamba alijifunza kwa fundi sasa kwa kipindi chote ambacho amekaa kwa fundi ameshindwa kujua vifaa muhimu vinavyohitajika kwenye kazi pamoja na bei zake?
Kwa kifupi hiyo siyo sehemu salama ya kuwekeza pesa yako maana inaonyesha dhahiri huyo dogo sio mtu smart.
Sent from my OPPO R11s using JamiiForums mobile app
Mchanganuo wa hiyo elaAndaa laki 7
Umejumlisha na Kodi ya fremu?Andaa laki 7
Mkuu harakati unapigia mkoa gani?Mwaka 2013 nilianza nikiwa na tsh 27000.
Ni biashara ambayo huwezi shindwa ishi kwa lolote lile.
Kodi,mavazi,mlo,maradhi.
MAINkey:UAMINFU USILE PESA YA MTEJA KABLA YA KAZI KUITIMIZA.
Asante mkuuDogo lako aache ushamba...inakuwaje amejifunza ufundi halafu hajui vifaa vinavyohitajika katika kazi yake...huyo ni mfwata upepo...
Vitu muhimu ni.
1.Eneo la kazi.
2.Hot gun air(blower) bei yake 200k nakuendelea
3.soldering iron(Gun) bei 5000,10000 nakuendelea.
4.Multimeter kuna 10000,20000 nakuendelea.
5.soldering wire meter Moja ni buku moja.
6.screw driver kit-5000 na kuendelea.
7.soldering paste kaulize dukani.
8.spirit/petrol ya kusafishia sucket.
9.computer,desktop au laptop kama anafanya software,pia kujifunza tutorial youtube..bei kuanzia 250000 na kuendelea.
10.Jumper wire,mashine ya kubadilishia vioo,Nenda kwa fundi atakupa mlolongo mzima.