Biashara ya ulanguzi kwa watoto na madanguro Tanzania

Inasikitisha sana,wanao jihusisha na biashara hiyo haramu tunaishi nao,cha muhimu ni sisi wananchi ni kushirikiana na serikali yetu kuripoti hizi mambo.tanzania itaendeleza na watoto waleo
 
Biashara kongwe mno hii, inashamir na kustaw kutokana na AVAILABILITY OF MARKET. Soko la uhakika lipo haiwez kufa hii biashara
 
Haya madanguro ya watoto yako mitaa ya wapi?,mimi najua tu madanguro ya wakubwa
 
Miaka 11..
Some people are Treacherous Monsters!
 
Haya madanguro ya watoto yako mitaa ya wapi?,mimi najua tu madanguro ya wakubwa
BBC walirusha kipindi redion na wakabaini mitaa mingi hasa kule buguruni. I wish ningerecord ningeweka hapa.
 
Dawa ni kuirasimisha(Legalise) hii biashara ya madangulo.Kwasababu ikirasimishwa itakuwa rahisi kidhibiti(Regulate).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…