Niombeni kujua katika hii biashara ya kusanga na kupack unga wa sembe TFDA, TBS wanahusikaje? Na je kwa kuanza biashara hii nilazima kusajiliwa na TBS na TFDA?
Wadau habari zenu! ni matumaini yangu hamjambo!
Niombeni kujua katika hii biashara ya kusanga na kupack unga wa sembe TFDA, TBS wanahusikaje? na je kwa kuanza biashara hii nilazima kusajiliwa na TBS na TFDA? Naombeni msaada wenu please.