Mimi Melki
Senior Member
- Mar 31, 2022
- 155
- 259
Naomba kuuliza, mbali na kubandika na kupaka rangi kucha! Ni kitengo kipi cha saloon za kike kinachoweza kufanywa huku ukitembea kuwafuata wahusika?
Pia, kwa yeyote mwenye ujuzi wa biashara ya kubandika na kupaka rangi kucha naomba anieleze ni mtaji kiasi gani unaohitajika na vifaa vinavyotakiwa! Pia aliye na uzoefu kwenye rangi za unga na Gel anipatie mwongozo akihusisha bei zake dukani!
Bila kusahau kwa anaefahamu sehemu ambayo nitapata mafunzo ya jinsi ya kufanya biashara hii kwa hapa Dar anifahamishe! Kwa anaependekeza kujifunza kupitia videos za You Tube ni bora zaidi anipatie mwongozo!
Nawasilisha...