Wapendwa habarini za mda huu....me nnawazo la kufanya biashara ya urembo kwajiri ya kinadada na wakaka....kuuza. Mafuta& lotion,hereni bangiri vibanio na mambo mengine kama hayo ....nombeni mnipe mwanga wa nianze na mtaji wa shngapi pia changamoto za hio biashara na faida zake na machimbo ya kujumua vitu ivo kama ni kariakoo au wapi....tufunguane macho jaman natanguliza shukrani zangu
am better here