Biashara ya usafi wa maofisini na majumbani

Kama Pelle

Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
98
Reaction score
13
Habari za majukumu na hongera kila mmoja kwa harakati za kutafuta mkate wa kila siku.

Ninawaza juu ya biashara ya usafi wa majumbani na maofisini katika jiji la Dar es Salaam, lakini sina taarifa za kutosha juu ya mambo ya msingi katika uendeshaji wake.

Zaidi ya taratibu za kuanzisha na kusajili kampuni, na pamoja na kwamba wataalamu wa uandishi wa business plan wataweza kunitatulia shida yangu kwa mapana na marefu.

Naomba waungwana mnisaidie mawazo katika vipengele hivi hapa chini na kila kilicho muhimu kwa ujumla iwe ni hatua ya awali katika kujipanga;

1. Makadirio (roughly) ya mtaji wa chini wa kuanzia

2. Gharama za kawaida za kuendesha ofisi

3. Madondoo juu ya mikataba na maslahi ya waajiriwa​

4. Utafutaji wa masoko

5. Uwezekano wa kupata faida

6. Mwelekeo wa biashara yenyewe kwa sasa.

Mungu na ambariki na kumzidishia kila mmoja wenu sasa na daima..

Mkuu pole naona ulikosa msaada. Vipi uliendelea na hili wazo lako?
 
Back
Top Bottom