Biashara ya usafiri wa hiace

Biashara ya usafiri wa hiace

jk kisiwa

Senior Member
Joined
May 31, 2016
Posts
131
Reaction score
98
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi nimepata wazo nichukue mkopo benki kisha ninunue gari aina ya hiace ili kuweza kuifanya daladala hapa Mwanza ambapo kwa siku itaniwezesha kupata elfu hamsini.

Je changamoto zake ni zipi na je itakuja kunilipa baada ya hizo changamoto ushauri mwingine kama utapatikana wa biashara nyingine mkopo ni kama million 12.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara kama hiyo na kama uko siriasi basi unapaswa kuamua 1.

Na kubwa kuliko yote ni wewe usimamie mwenyewe mapato yaani uwe kondakita hivyo unatafuta Dreva tu.

Hiyo elfu 50 utakuwa unaikusanya mapema sana saa 7.

Ukisema uweke Kondakita na Dereva mtakuwa mnagawana pasu kwa pasu. Anafunga hesabu yako na wanafunga ya kwao.

Ukiwa mwenyewe utaingiza zaidi ya hiyo 50 kwa siku unaweza ingiza hadi 90 au 80.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sikushauri biashara hiyo inachangamoto nyingi sana ambazo Kwa mwajiriwa zitakupasua kichwa

Kwanza 12m Kwa hiace elewa ni ugonjwa huo unaununua na tenga kama 5m pembeni ya service

Ushauri wangu bora wekeza kwenye kilimo au ufugaji Wa kisasa kama kulima Lima kilimo cha kumwagilia

Fuga kisasa kama mbuzi,ng'ombe,kuku au samaki

Ukishindwa kabisa bora usikope

love without limits
 
Ushauri mzuri

Sawa mkuu nimekupata

Ushauri mzuri sana kaka na wengine tumejifunza

love without limits
 
USIJARIBU KUFANYA HIVYO UTAKUFA KWA PRESHA UKITAKA HIVYO SHIKA USUKANI AU KAA MLANGONI MWENYEWE MWAKA 1 TU UNA HIACE NYINGNE NA HIACE YAKO BADO IKO BOMBA

ILA KUKOPA UKANUNUE HIACE UMKABITHI MTU AKULETEE ELA KWA SIKU UTAKUFA KWA PRESHA ACHANA NA HILO WAZO TUULIZE SISI YALIOTUKUTA
 
Mi ni mwalimu wa shule ya msingi nimepata wazo nichukue mkopo benki kisha ninunue gari aina ya hiace ili kuweza kuifanya daladala hapa mwanza ambapo kwa siku itaniwezesha kupata elfu hamsini je changamoto zake ni zipi na je itakuja kunilipa baada ya hizo changamoto ushauri mwingine kama utapatikana wa biashara nyingine mkopo ni kama million 12

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huna uzoefu na magari naomba sana usinunuwe maana itakuletea magonjwa ya moyo na mengineyo. Plzz tafuta biashara ingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiace ni ugonjwa ndugu, kuna jirani yangu hapa hapa mwanza town alishikishwa hiace kwa 10M akajiona mjanja.
Kabla hajainunua alikua mnene na afya yake sasahivi jamaa kaisha alafu mbaya zaidi na hiace ipo juu ya mawe.
Ukitaka kufanya hiyo biashara nunua hiace mpya kutoka japan nadhani ni kuanzia 30M+
 
Mkuu hiyo biashara pasua kichwa sana hiyo inawafaa wanaonunua hiace na kuingia mzigoni wenyewe hawawapi watu wengine wawafanyie kazi,mimi ushauri wangu kwa hiyo pesa tafuta chumba sehemu nzuri na salama anza kuuza mahitaji muhimu kwa binadamu kama unga wa kula,mchele,maharage,sukari na vingine vya muhimu mfano[emoji116]
4d770d8cacb64101454980c246068221.jpg

N.b: kwa kuwa unamishe nyingine unaweza tafuta ndugu akakusaidia kwenye hiyo biashara ukitoka kwenye mishe zako unaenda kucheki utaratibu umeendaje kwenye duka lako.

-Ndumilakuwili-
 
Mi ni mwalimu wa shule ya msingi nimepata wazo nichukue mkopo benki kisha ninunue gari aina ya hiace ili kuweza kuifanya daladala hapa mwanza ambapo kwa siku itaniwezesha kupata elfu hamsini je changamoto zake ni zipi na je itakuja kunilipa baada ya hizo changamoto ushauri mwingine kama utapatikana wa biashara nyingine mkopo ni kama million 12

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui upo sehemu gani lakini nakushauri kama upo kanda ya ziwa chukua hiyo milioni 12 wakivuna nunua mpunga weka stock ukipanda uza wakati wa kvuna say utanunua gunia la kilo 90 kwa 60000 hadi umefungia likifika 90000 unapata 30,000 faida kila gunia .12000000÷60000= gunia 2000×30000=6000000 faida ndani ya miezi sita au saba unaweka pesa benki unasubiri wavune.

Kweli
 
habari, kwanza hongera kwa kuwaza angalau kufanya shughuli nyingine nje ya kazi uliyoajiliwa. Lakini nina machache ya kuchangia and you may take them or decide to leave as they are. Katika hii sekta ya biashara ya daladala yapo mengi ambayo beginner anatakiwa kuyafahamu vizuri na kwa bahati mbaya wengi huwa hawapati fursa hiyo ya kuyafahamu mambo hayo na hivyo kuishiwa kushawishiwa kwa muonekano wa macho mfano kuwa gari kwa siku itaniingizia kiasi kadhaa pasipo kuwaza kuhusu gharama nyinginezo. Nina maswali machache ambayo kama hujajiuliza ni vema ujiulize sasa; hivi mbali na kuitamani biashara hiyo, umefanya deep research kuihusu?, vipi kuhusu gharama za vibali vya mamlaka zote zinazosimamia biashara hiyo?, vipi kuhusu uaminifu wa watu unaopanga kuwaweka kama waendesha mradi? umesema hiyo gari ni 12M, hivi ipo kwenye hali gani na itahitaji matengenezo yatakayogharimu kiasi gani? mbali na hiyo elfu hamsini unayoisema, hivi umewaza ile kitu wazungu wanaita Return on Investment(RoI) inakaa vipi hapo? kama maswali hayo utayajibu na majibu yake yakaja na kuwa positive kwa upande wako keep on na nikutakie kila la kheri katika biashara yako hiyo mpya.
Anyway, kama majibu ya maswali ya hapo juu yanaonesha kwamba mradi utafail ngoja nikushauri kitu; mimi ninajishughulisha na biashara ya samaki katika ziwa Rukwa upande wa Sumbawanga na nina uzoefu na biashara hiyo. Kama utaweza tafuta 3Mil. njoo uwekeze huku katika biashara hii na ikulipe 100,000/ (laki moja) kila siku. Najua uaminifu ni mgumu kwa wakati tulionao hivyo katika kuliweka sawa, kwa kuwa wewe ni muajiliwa pesa mpe hata ndugu yako yeyote unaemuamini na ndiye atakuwa cashier yaani atatoa hela where there is due reason to do that. Mimi nitakuwa ni director tu wa kumuelekeza kipi cha kufanya na namna ya ufanyaji wa kazi lakini BIASHARA TUTAIMILIKI PAMOJA mimi na wewe na mgawanyo utakaozidi baada ya hiyo laki moja yako kutolewa itakua ni makubaliano yetu binafsi. Nunafanyia shughuli zangu katika fordha za Ilanga na Kamchanga.
If interested, kindly nifuate DM tuyajenge.
 
Back
Top Bottom