logarithm1
Member
- Dec 31, 2017
- 25
- 8
Asante mkuu!Nenda TRA akabadili kadi kutoka PRIVATE kwenda Commecial ,gharama ni TSH10000
Kisha utalipia 150000 kama kodi ya mapato
Kwa kuongezea hii kodi unaweza kuwaomba ulipe baada ya miezi mitatu, hivyo utakadiriwa kisha utafanya kazi baada ya miezi mitatu utalipa. Ila ni bora ukalipa kabisa. Hii 150000 ni miezi mitatu tu maana yake kwa mwaka itakuwa kama 60kNenda TRA akabadili kadi kutoka PRIVATE kwenda Commecial ,gharama ni TSH10000
Kisha utalipia 150000 kama kodi ya mapato
Asante Mkuu !Kwa kuongezea hii kodi unaweza kuwaomba ulipe baada ya miezi mitatu, hivyo utakadiriwa kisha utafanya kazi baada ya miezi mitatu utalipa. Ila ni bora ukalipa kabisa. Hii 150000 ni miezi mitatu tu maana yake kwa mwaka itakuwa kama 60k
Ila kuna baadhi ya mikoa kama unabenda abiria itabidi ufike Sumatra kupata kibali.
Hapa utahtaji dereva mwenye class C, mkataba wa kazi unapatikana idara za ajira na kazi lakini pia Sumatra watataka gari ikaguliwe na Vehicle polisi.
Sumatra ni Tsh 25000/= tu
Kila la heri
Hapo ni sawa mkuu?Kwa kuongezea hii kodi unaweza kuwaomba ulipe baada ya miezi mitatu, hivyo utakadiriwa kisha utafanya kazi baada ya miezi mitatu utalipa. Ila ni bora ukalipa kabisa. Hii 150000 ni miezi mitatu tu maana yake kwa mwaka itakuwa kama 60k
Ila kuna baadhi ya mikoa kama unabenda abiria itabidi ufike Sumatra kupata kibali.
Hapa utahtaji dereva mwenye class C, mkataba wa kazi unapatikana idara za ajira na kazi lakini pia Sumatra watataka gari ikaguliwe na Vehicle polisi.
Sumatra ni Tsh 25000/= tu
Kila la heri
Wapi mkuu?Hapo ni sawa mkuu?
SijakuelewaHapo ni sawa mkuu?
Wapi mkuu?
Yea. Lakin ukikadria kwa mwaka ulipe kabisa inakuwaga kama 450 hv maana TRA wanajuaga wenyewe hesabu zaoHii 150000 ni miezi mitatu tu maana yake kwa mwaka itakuwa kama 60k, nami umenichanganya kidogo...
Sasa nimekupata kumbe ulitaka kusema 600K, yaani laki sita...poa poa tupo pamoja..Yea. Lakin ukikadria kwa mwaka ulipe kabisa inakuwaga kama 450 hv maana TRA wanajuaga wenyewe hesabu zao
Yea. Lakin ukikadria kwa mwaka ulipe kabisa inakuwaga kama 450 hv maana TRA wanajuaga wenyewe hesabu zao
Ilo tangazo umesikia wapi ndugu. Tujuze wengine tufahamNoah nilisikia tangazo la kuziondoa kwamba hazitakiwi kutumika kama usafiri kwa abiria.
Je kuna maeneo ya nchi bado wanazikubalia?
Duh alarm ya hatari hiyo tayarinaibu waziri wa uchukuzi alitoa hilo tangazo kuwa sumatra isitoe kibali kwa noa ila huku kwetu zinapiga kazi kama kawaida