Habari wakuu,
Husika na kichwa Cha habari, Tumekuwa tukifanya usambazaji wa bidhaa za dukani(pipi,tomato,n.k) kwa kutumia mfumo wa store, Yani unaingiza mzigo store Kisha unapita maduka ya jumla kutafuta oda za vitu mbalimbali ili uweze kumpelekea mteja.
kwa ufupi Ni Kama distributor lakni Katka local way au unofficial.
Kwa maana ya kwamba hatulipi Kodi kwa Tra ,hvyo biashara imekuwa ikilipa kiasi flani sababu gharama za uendeshaji Ni ndogo.
Lengo: Naomba ushauri nahtaj kuifnya biashara iwe yenye kutambulika kwa kusajili kampuni ya usambazaji.
Nimechagua kampuni sababu ndio njia ambayo biashara itakuwa long-lasting zaidi , sababu Nina maono ya baadae zaidi ,na pia kujitanua ili niweze kufanya importation.
Maulizo:1)je nikifungua kampuni changamoto gani kubwa Zaid naweza kabilina nazo?
2)je Kodi za TRA zikoje kwa kampuni ya Aina hii?
3) naomba mchanganuo wa system nzima ili kampuni isimame(employee,majengo n.k)
Ushauri wako Ni muhimu Sana.
Ahsante.