SeKindole2014
New Member
- Mar 25, 2015
- 2
- 0
Habari zenu wanaJF?!
Natamani sana kufanya biashara ya kutotoa na kuuza vifanga (kuku, bata, etc) na nawaombeni ushauri wenu. Namshukuru Mungu kwani mtaji wa kununua mashine (incubators na hatchers) za capacity ya juu upo tayari, ni kuagiza tu.
Ila nasumbuka sana kupata information nzuri ndo niweze kufanya uamuzi, na nawaomba wenye uzoefu na swala hili wanisaidie na haya:
1.) Soko la vifaranga sasa hivi likoje? Hii ni biashara nzuri kufanya au la/demand ipo au supply tayari ipo too much?
2.) Kama soko lipo, ni kuku wagani/breeds mtanishauri kuangua? Pros and cons, etc
3.) Soko liko wapi/nani wanunuzi?
4.) Hivi Tanzania ipo mitandao wafugaji na wakulima wanatumia kuuzia bidhaa zao kama wenzetu kule Kenya, Uganda, etc?
5.) Bei za vifaranga (mimi nipo Dar)?
6.) Kwa kununua mayai/fertilized eggs?
7.) Mengine ya umuhimu kuzingatia
Natanguliza shukrani zangu, mbarikiwe sana! :smile-big: