Biashara ya utotoleshaji wa vifaranga chotara na kienyeji.

Biashara ya utotoleshaji wa vifaranga chotara na kienyeji.

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
407
Reaction score
178
Nataka kuanza biashara ya utotoleshaji wa vifaranga chotara na kienyeji, napenda kufahamu kwa wazoefu wa biashara hii. Huwa mnawalipisha shilingi kwa yai 1 na taratibu zingine.
 
Hello..ni biashara nzuri kwani soko lipo hasa ukiwa mijini.Bei ya kutotolesha inatofautiana..hapa nilipo trey 1 ni elf 12 kununu na elf 12 kuweka kwenye mashine
 
Back
Top Bottom