Biashara87
New Member
- Jan 30, 2012
- 3
- 0
Wadau, Hii biashara ya kuuza bidhaa online kama wanavyofanya WWW.AMAZON.COM na kina WWW.EBAY.COM unadhani ni kipi kifanyike ili Tanzania na sisi tu adopt? Naombeni mchango wenu on what you think concerning this business idea.