Biashara ya uuzaji na ununuzi wa madini kwa mfanyabiashara mdogo

SirMayombo

Member
Joined
Oct 3, 2018
Posts
5
Reaction score
3
Habari wana JF,

Naitwa Mayombo nimekuja kwenu kuomba ufafanuzi kwa yeyote mwenye experience na biashara hii ya uuzaji na ununuzi wa madini hapa nchini

1. Hatua gani za kufuata kisheria?
2. Inahitaji pesa kiasi gani kama mtaji?
3. Changamoto zikoje na faida?

Tafadhari naomba msaada ili nijifunze lakini tupate somo kwa wana JF wote. Ahsante
 
Madini gani?
 
Kununua madini ya dhahabu iliyochomwa mkuu
 
Muhimu umuone kalumanzila kabla ya kuanza hiyo biashara vinginevyo madini yatakua yanapotelea mfukoni kimzaha
 

Kununua marudio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…