Biashara ya uuzaji wa sigara

Ty tanick

Member
Joined
Jun 18, 2021
Posts
11
Reaction score
7
Nahitaji kupata uzoefu wenu kuhusu hii biashara ya sigara hasa jumla
 
Nahitaji kupata uzoefu wenu kuhusu hii biashara ya sigara hasa jumla
Unanunua packets kadhaa na kiberiti. 7natembea kwa watu ukiwa na coins unarusha rusha. ukikuta watu unawaambia unayo sm, nyota, marliboro au embassy. Wananunua. Wanaweza omba kiberiti au wasiombe basi. Umemaliza. Kwa siku hukosi tsh 30,000 mpaka 50,000 faida
 

Asante ila nazungumzia jumla na cyo reja reja
 
Hili deal ni zuri sana ukilipiga Zanzibar ukimbanananisha mtalii unamzaba bei kubwa kwa packet moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…