Biashara ya viatu mitumba ladies

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,443
Reaction score
3,002
Wakuu niaje,mko poa...mi mafanya biashara ya ladies shoes na mikoba,niko location mwanza.nilianza kwa kukata baloo za viatu mwenyewe na pochi,kwenye viatu nilikuwa nafungua grade number moja ila open ladies wanasema grade ila ilikuwa ya kawaida,nibiashara nimefanya kwa mda kidogo.issue yangu nikutaka kujua niwapi ntapata ladies shoes grade kabisa ila Kali,iwe open,hills,simple Mtumba,napia niwapi ntapata vihandbags vya wadada nainai,maana huku balo la nainai tu sijaona
 
Mi nachukulia hapa hapa mwanza,ila sasa hivi viatu ladies lango vimekiwa sio
Mlango mmoja hapo maduka ya barabarani kuna jamaa wanashusha mzigo hapo kila Jumatatu
 
Mlango mmoja hapo maduka ya barabarani kuna jamaa wanashusha mzigo hapo kila Jumatatu
Kaka unapatikana eneo gani, naweza kupata msaada wa muongozo
Niko mwanza nataka nianze biashara hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…