Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu wakuu,
Msaada wa mtu yoyote ambaye ashafanya ama anajua mtu anayefanya biashara ya viatu kutoka Nairobi kuja bongo.
Kweli biashara zinachanganya. Kuna wengine bado wanatoa viatu vipya eastleigh Nairobi wanaleta huko. Mimi nlikuwa naulizia viatu vya mtumba coz Nairobi Ni Bei rahisi Sana. Wanavitoaga huku kuleta Bongo.Alafu hizi biashara mbona zinachanganya? Kuna watu juzi tumekutana kariakoo wanachukua viatu aina ya sandals zile za fashion, wanasema wanapeleka Kenya. Kwa bei ya jumla tuliokuwa tunauziwa pale tsh 10,000 kwa hela ya kwao walisema tsh 600, na sandals kama hizo kwa hela ya kwao huko zinauzwa tsh 1400.