Biashara ya viatu vya kike spesho

Huduma inaendelea wadau. Nitume nikutumikie, ushauri 1000 kukupeleka kwenye machimbo 5000, kukutumia mkoani 10000. Nafanya gharama hizo kwa maana naacha shughuri zangu kwa kukusaidia wewe, asante
 
Wa mikoani tunaogopa kupigwa mkuu!
Usiogope mkuu karibu sanaaa.

Updated:
Chimbo la hereni,bangili za Bei rahisi
Chimbo la saa
Chimbo la mikanda
Chimbo la vitenge na wax,java
Chimbo la t-shirt za fom six na shule ya msingi za kuprint
Chimbo la vyombo
Chimbo la chupi na boxer
Chimbo la miwani
N.k karibuni Sana


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii huduma bado inapatikana? naomba namba zako pm tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…