Biashara ya viatu vya kike VS vipodozi

Biashara ya viatu vya kike VS vipodozi

More Chances

Senior Member
Joined
Jun 24, 2022
Posts
151
Reaction score
344
Habari wana jamii

Ipi ni biashara rahisi kuendesha na inalipa kwa haraka kati ya hizo mbili tajwa hapo juu

Pia zipi ni mbinu muhimu katika kufaulu biashara hizo

Pia vip kuhusu Location zake sahihi
 
Kwa uzoefu wangu biashara ya viatu vya kike inalipa kuliko vipodozi
 
Back
Top Bottom