More Chances Senior Member Joined Jun 24, 2022 Posts 151 Reaction score 344 Jul 14, 2022 #1 Habari wana jamii Ipi ni biashara rahisi kuendesha na inalipa kwa haraka kati ya hizo mbili tajwa hapo juu Pia zipi ni mbinu muhimu katika kufaulu biashara hizo Pia vip kuhusu Location zake sahihi
Habari wana jamii Ipi ni biashara rahisi kuendesha na inalipa kwa haraka kati ya hizo mbili tajwa hapo juu Pia zipi ni mbinu muhimu katika kufaulu biashara hizo Pia vip kuhusu Location zake sahihi
Scorpio Me JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 6,119 Reaction score 7,934 Jul 24, 2022 #2 Una mtaji kiasi gani? Sent using Jamii Forums mobile app
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 20,137 Reaction score 26,189 Sep 27, 2022 #3 Kwa huo mtaji uliotaja hautoshi kabisa.
Mnachihanguuu JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 4,385 Reaction score 6,443 Jun 23, 2023 #4 Kwa uzoefu wangu biashara ya viatu vya kike inalipa kuliko vipodozi