Samjela Jr
Member
- May 23, 2017
- 50
- 14
Waungwana naomba msaada wa jinsi ya kuanza biashara ya viatu vya mtumba na upatikanaji wake pale mjini Karume(vile vya kupoint)
Changamoto za biashara hiyo na faida yake
Natanguliza shukrani zangu kwenu
Changamoto za biashara hiyo na faida yake
Natanguliza shukrani zangu kwenu