Samjela Jr Member Joined May 23, 2017 Posts 50 Reaction score 14 May 14, 2018 #1 Waungwana naomba msaada wa jinsi ya kuanza biashara ya viatu vya mtumba na upatikanaji wake pale mjini Karume(vile vya kupoint) Changamoto za biashara hiyo na faida yake Natanguliza shukrani zangu kwenu
Waungwana naomba msaada wa jinsi ya kuanza biashara ya viatu vya mtumba na upatikanaji wake pale mjini Karume(vile vya kupoint) Changamoto za biashara hiyo na faida yake Natanguliza shukrani zangu kwenu
Francis3 JF-Expert Member Joined Oct 3, 2016 Posts 462 Reaction score 1,629 May 14, 2018 #2 wanakuja wajuzi
Samjela Jr Member Joined May 23, 2017 Posts 50 Reaction score 14 May 14, 2018 Thread starter #3 Francis3 said: wanakuja wajuzi Click to expand... Aminia mkuu