Biashara ya viatu vya mtumba

Biashara ya viatu vya mtumba

Onlyobby

New Member
Joined
Oct 30, 2021
Posts
2
Reaction score
1
Habar wana jf,

Naombeni muongozo kwa mwenye uwelewa wa mazingira ya Mwanza anipe mwanga ni wap naweza pata viatu vya mtumb (raba) kwa ajili ya biashara.

Ningependa ufaham n wapi na lin naweza kwenda n ku point raba kali na ninatakiw niwe na mtaj kiasi gan, (unatakiwa kupoint kuanzia pair ngap) ahsanteni,,,
 
Back
Top Bottom