Biashara ya Viazi mbatata vilivyokatwa

pjo

Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
26
Reaction score
20
Wana jamvi habarini za mchana, Naomba kujua mwenye uzoefu juu ya kuhifadhi Viazi mbatata "Viazi mviringo" vilivyo menywa na kukatwa kwa ajili ya chipsi ili visibadilike rangi au kuharibika kwa halaka.
 
Subscribed
 
Zinaitwaje na naweza pata kwenye maduka yapi dada?
Maduka yanayouza hizi preservatives za vyakula.kama zile sodium benzoate, emulsifiers nk
Kama nakumbuka inatwa chip white..nimesahau
 
Ingia insta
Search
Ingredients center kama sijasahau wanauza preservatives nyingi nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…