slow_learner
Senior Member
- Nov 24, 2016
- 139
- 110
mkoa gani nilete huko?Vibua wanakula wanaume wa dar... Wamikoani tunakula sato... Sangara na perege
Upo mkoa gani tufanye biashara mkuuHabari mkuu,
Nahitaji vibua, je bado unauza hawa samaki?
Nipo DSM, naomba bei na upatikanaji wake. Pia tupia na pichaUpo mkoa gani tufanye biashara mkuu
habari kiongozi,bado unahitaj vibua?Habari mkuu,
Nahitaji vibua, je bado unauza hawa samaki?
habari kiongozi,bado unahitaj vibua?
vipo mkuu,kama unahitaji tuwasiliane
habari kiongozi,bado unahitaj vibua?
[/QUOTEweka taarifa za bias hara yako hapa picha na bei ni muhimu.
je perege? ninauza perege au tilapia nipo nyumba ya MunguMkuu huku iringa wanauzika tunaweza fanya biashara
heshima kwako mkuu. mi nahitaji, nitaku-PM number yangu. tuwasiliane pleasevipo mkuu,kama unahitaji tuwasiliane