Biashara ya video production katika Harusi, Kitchen party, Send-off nk

Biashara ya video production katika Harusi, Kitchen party, Send-off nk

kipusy

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
639
Reaction score
323
Naomba kuuliza wanaofanya/waliowahi kufanya hii biashara
  1. Camera gani nzuri kufanyia video na photo shooting?
  2. Camera ziwe ngapi katika usiku wa shughuli kwa ufanisi zaidi?
  3. Wanaepukaje changamoto ya kuishiwa battery charge?
  4. Kwa tanzania hususan Mbeya, huwa wanalipwa kiasi gani kwa hii shughuli?
Asante sana wananzengo. Nawasilisha
 
Back
Top Bottom