kipusy JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 639 Reaction score 323 Sep 2, 2020 #1 Naomba kuuliza wanaofanya/waliowahi kufanya hii biashara Camera gani nzuri kufanyia video na photo shooting? Camera ziwe ngapi katika usiku wa shughuli kwa ufanisi zaidi? Wanaepukaje changamoto ya kuishiwa battery charge? Kwa tanzania hususan Mbeya, huwa wanalipwa kiasi gani kwa hii shughuli? Asante sana wananzengo. Nawasilisha
Naomba kuuliza wanaofanya/waliowahi kufanya hii biashara Camera gani nzuri kufanyia video na photo shooting? Camera ziwe ngapi katika usiku wa shughuli kwa ufanisi zaidi? Wanaepukaje changamoto ya kuishiwa battery charge? Kwa tanzania hususan Mbeya, huwa wanalipwa kiasi gani kwa hii shughuli? Asante sana wananzengo. Nawasilisha
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,006 Reaction score 13,281 Sep 26, 2020 #2 Wasubiri wanakuja