Habari zenu wakuu nimekuja na wazo la kuanzisha biashara ya vifaa vya kutolea huduma ya afya kwa mfano microscope, blood pressure tester, injector na vifaa vingine vinavyo tumika kutolea huduma ya afya hospitalini.
hivyo nimekuja kwenu wakuu kupata muongozo juu ya biashara hii hasa katika location ya kariakoo.
Nawasilisha.