fofre
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 805
- 1,307
Habari zenu wadau natumaini ni wazima wa Afya.
Naitaji kufahamu kwa mwenye uzoefu na biashara ya kuuza vifaa vya michezo kama mipira, soksi jezi viatu na vifaa vyote vinavyo husika katika michezo ya kike na kiume.
Zaidi nacho hitaji kufahamu ntapata wapi bidhaa hizo (original) na kwa bei nafuu. Pia naitaji na mashine ya kuprint majina na hata logo.Mchanganuo na bajeti ntaipanga baada mawazo yenu.
Natanguliza Shukrani.