Biashara ya vifaa vya simu!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Salamu,naomba kujua kuhusu biashara ya vifaa simu ...chaja,earphone ,pbank,nk .Bei na upatikanaje wake.
Nataka kufanya biashara na wanachuo.
 
Kwa dodoma iko poa. Kama utakuwa serious nikupe no ya kuanzia kwa mtu uwe unamtumia pesa anakutumia mzigo kutoka Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…