Biashara ya vifaa vya umeme

fikirijohnas

Member
Joined
Nov 10, 2018
Posts
46
Reaction score
29
Habari za humu Great Thinkers!

Naomba kupata elimu juu ya biashara ya vifaa vya umeme kwa mtu mwenye mtaji mdogo wa angalau milioni 4.
Nitafurahi ikiwa nitaelimishwa juu ya muundo wa duka lenyewe, yaani vifaa gani viwemo kwa wingi, bidhaa zinazouzika kwa haraka, faida zake, changamoto na eneo ninapoweza kupata bidhaa kwa bei ya jumla na bei nafuu pia kwa mikoa ya kanda ya ziwa.

Nashukuru sana.
 
Ukihitaji vifaa kama hivi hapo chini pichani nikuagizie Dubai.
Whatsapp +971527794329
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…