Biashara ya Vinywaji Baridi Kwa Bei ya Jumla

MREJESHO...

#YNWA
Yes Mkuu mrejesho ni muhimu, mpaka sasa biashara yangu ina miezi 6, na naweza kusema inafanya vizur, kwa maana inakuwa,

Lakini nilifanya modification kidogo nanunua vinjwaji kwa bei ya jumla, ila nauza kwa reja reja, (hii ni nzuri kwa maana bei zangu kwa reja reja ni nzuri pia) ila Mwakani Nina mpango wa kuuza kwa jumla pia,

Kikukubwa ni turnover, lakini pia nimeweka machine za ice-cream pia, za popcorn na vitu vya watoto hii ilikuwa idea ya wife nikaona sio mbaya!

2024, naamini utakuwa wa viwango vingine.
 
Una maanisha uuuze Soda,chupa n take away na vinywaji vingine vyote vikiwa vya baridi au sijaelewa?

Maana ya kusema uuze vinywaji baridi hapo ulimaanisha nini boss?
Alimaanisha vinywaji visivyo na kilevi
 
Amen Mungu awe nasi wauza vinywaji woteee....!!!

#YNWA
 
Kaka, unaweza ukanipa mwanga kidogo kuhusu upatikanaji wa mashine za ice cream, Bei, kampuni nzuri, na Abc kidogo kuhusu biashara hii kama hutokajal bro! Natanguliza shukuran

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hongera kiongozi
 
mkuu vip maendeleo
 
Asante Mkuu kwa elimu ya kina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…