BankxRobert
New Member
- Feb 22, 2014
- 2
- 3
Habarini ndugu,
Nilikuwa naomba usharudi wa utaratibu unaohitajika kufungua duka na kuuza pombe kali Dodoma mjini. Ningependa niwe nauza jumla na rejareja. Natakiwa nianze wapi kama eneo tayari ninalo(urban area) ambapo kuna mzunguko wa watu na pub.
Nina mtaji wa 20m
Location nzuri sana, kwa hesabu ya haraka kuna kama Liquor store 8 hapo majengo, hata hivyo Mr Chonjo kazidiwa na wateja kaongeze nguvu mtuhudumieLocation nimepata majengo sokoni, Mr chonjo anabidi tu agawane na Mimi wateja wake hamna namna. Uoga mwingi ndio hutuchelewesha vijana
Mrejesho...Habarini ndugu,