BIASHARA YA VIPODOZI

BIASHARA YA VIPODOZI

said rashid

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
203
Reaction score
112
Leo kuanzia saa 2:00 usiku hadi saa 4:00 usiku kutakuwa na mafunzo ya biashara ya vipodozi kwa watu ambao wanaipenda biashara hii na wanafikiria kuifanya.Utajifunza taratibu za kufuata kisheria ili kuanza biashara, makadirio ya mtaji, jinsi ya kuanza biashara na Vipodozi vinavyoruhusiwa kuuzwa kwani ukikosea hayo unaweza kupoteza biashara yako muda wowote. Mafunzo haya yatatolewa bure na AFYA ZAIDI CONSULTANTS na yatakuwa kwa njia ya WhatsApp ili kuwezesha watu wengi zaidi waweze kupata wakiwa walipo. Tuma meseji kwa whatsapp namba 0743422883 ili utumiwe link ya group kwa kuwa link jamiiforums hazitakiwi sana.
Kujua zaidi kuhusu AFYA ZAIDI Consultants tembelea website yetu na ukurasa wetu wa facebook

Ahsante!

AFYA ZAIDI (AZ) CONSULTANTS LOGO.jpg
 
Mi naona kama humu yatawafikia watu wengi zaidi na bandiko litatumika na vizazi vijavyo kupitia search engine's
 
Mh kwann mafunzo yanafanyika usiku..?

Haujui kama huo ni muda wa kupumzika na wake zetu
 
Bei gani haya mafunzo?kama ni bure sitajiunga
 
Back
Top Bottom