Kwema wadau.
Hii biashara imekaaje? Kuna sehemu imechangamka sana na kuna frem mtu kaiachia kwakuwa amehamishwa kazini kwakwe so ameamua kufunga maana usimamizi utazingua. Yeye alikuwa anaendesha Saluni ya kike.
Nina kapesa fulani hapa sasa nimeamua kuizuia frem huku nafikiria cha kufanya. Baadhi wananishauri vipodozi.
Wataalam naombeni ushauri juu ya hilo.