Streptokinase
JF-Expert Member
- Dec 13, 2018
- 276
- 436
Habari Boss, pole na majukumu napenda kukupa nafasi ya upendeleo kwako, baada yakuona thread Yako. Unaeza agiza simu na accesorios janja kutoka china na kuuza bongo dar. Mizigo yako inafika ndani ya siku 3-5 tangu kuagiza Kwako Kwa njia ya ndegeWakuu, nipo hapa kupata mawazo kuhusu hii biashara kwa watu ambao washawahi kuifanya au ambao wanaijua vizuri.
Kuna dogo yupo yupo tu hapa nyumbani kwaio nataka nimpe kazi kwa kufungua hili duka ili yeye awe analisimamia. Nataka kuanza kidogo kwa kufunga mzigo hapa hapa nchini, kwaio mtaji wangu ni kama millioni 5.
Naomba kujua changamoto ya hii biashara na maelezo mengine yoyote ya ziada kama yapo.
Natanguliza shukrani.