M Mbulaje13 Member Joined Dec 19, 2016 Posts 14 Reaction score 14 Nov 24, 2019 #1 Wenye uzoefu wanisaidie kuchanganua : mahitaji, namna ya kutengeneza, masoko na changamoto zake , mfano wa vitafunwa hivyo ni karanga, ubuyu, bisi na crips za ndizi na viazi au mihogo.
Wenye uzoefu wanisaidie kuchanganua : mahitaji, namna ya kutengeneza, masoko na changamoto zake , mfano wa vitafunwa hivyo ni karanga, ubuyu, bisi na crips za ndizi na viazi au mihogo.