Biashara ya vitambaa na vitenge Kanda ya Ziwa

Biashara ya vitambaa na vitenge Kanda ya Ziwa

Wadau tusaidiane, Mimi Nina 5m nataka kuanzisha biashara ya kuuza vitenge vya jumla na rejareja. Je, ni wapi point ya kuzichukulia.

NB: Niko Kanda ya ziwa.
Kanda ya ziwa ni kubwa.

Vitenge wanafuata Congo na Congo wanatoa Nigeria.
 
Wadau tusaidiane, Mimi Nina 5m nataka kuanzisha biashara ya kuuza vitenge vya jumla na rejareja. Je, ni wapi point ya kuzichukulia.

NB: Niko Kanda ya ziwa.
ingawa unaweza kuanza mdogo mdogo kwa hiyo hela ila kwenye vitenge kwa jumla bado mzigo utaona mdogo vitenge vinataka mtaji mkubwa maana sasa hivi bei yake ni kubwa kidogo sio kama miaka 10 iliyopita
 
Back
Top Bottom