Biashara ya vitambaa na vitenge Kanda ya Ziwa

Labile

Member
Joined
Dec 9, 2016
Posts
58
Reaction score
63
Wadau tusaidiane, Mimi Nina 5m nataka kuanzisha biashara ya kuuza vitenge vya jumla na rejareja. Je, ni wapi point ya kuzichukulia.

NB: Niko Kanda ya ziwa.
 
Wadau tusaidiane, Mimi Nina 5m nataka kuanzisha biashara ya kuuza vitenge vya jumla na rejareja. Je, ni wapi point ya kuzichukulia.

NB: Niko Kanda ya ziwa.
Kanda ya ziwa ni kubwa.

Vitenge wanafuata Congo na Congo wanatoa Nigeria.
 
Wadau tusaidiane, Mimi Nina 5m nataka kuanzisha biashara ya kuuza vitenge vya jumla na rejareja. Je, ni wapi point ya kuzichukulia.

NB: Niko Kanda ya ziwa.
ingawa unaweza kuanza mdogo mdogo kwa hiyo hela ila kwenye vitenge kwa jumla bado mzigo utaona mdogo vitenge vinataka mtaji mkubwa maana sasa hivi bei yake ni kubwa kidogo sio kama miaka 10 iliyopita
 
vitenge vinatoka China to kkoo hamna anaefuata vitenge congo, vitenge vya Congo atamuuzia nani?bei kubwa sana na wakati cha China bei ya wastan
Vitenge vinatoka Congo ni vzuri na ni mali safi bei ndio ni kubwa lkn ubora ni muhimu zaid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…