Habari za humu wanajukwaa,
Kwa wale wazoefu juu ya bidhaa tajwa hapo juu nilikua naomba kujuzwa yafuatayo please:
*Ni wapi bidhaa hizo zinapatikan kwa Bei Rahis na zenye Ubora
*Bei za bidhaa husika kwa Eneo hilo!
*Nahitaji kununua kwa Jumla na kuja kuuza kwa RejaReja
Kwa sasa nipo Kahama.
Mchango wenu ni muhimu sana!