Generetaion Z
JF-Expert Member
- Oct 2, 2022
- 343
- 874
Wakuu
Nina goli ninauza vitu used mfano majembe, nyundo, nyaya za umeme used, swichi used, pasi za mkaa used
Na makorokoro mengine wapendwa nahitaji sapoti yenu ya hali na mali
Nimeyumba kimtaji kidogo pia kama kuna mtu ana bidhaa tajwa hapo juu anaweza niuzia kwa bei nzuri pia, kama atanisapoti pia itapendeza kwa Dar es Salaam, Kinondoni.
Karibuni sana