Biashara ya vitunguu

Joined
Aug 20, 2020
Posts
57
Reaction score
144
Habari wakuu,

Mimi ni mkulima wa vitunguu ninayeishi tunduma mjini ninavitunguu majj vya kutosha kwahiyo kama kuna dalali au mfanyabiashara wa vitunguu aje tufanye biashara.

Natanguliza shukrani.
 
Mzigo uko gunia ngapi? Bei gani kwa gunia?
 
Kitunguu kimekutana sokoni ni bora ukauza kwa bei iliyopo kucheki msimu ujao.
 
Ukiweza hifadhi kwa kichanja nakushauri ufanye hivyo! Uuze mvua zimerudi na zimekolea..

Vuta subira.

Everyday is Saturday...............................😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…