Biashara ya vitunguu

Aisatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
781
Reaction score
333
Habari wana JF

Naombeni kwa wanunuzi wa vitunguu maeneo ya Ruaha Mbuyuni na wanaotoka maeneo mengine,nina vitunguu red bombey nzuri,vipo ruaha mbuyuni wilaya kilolo iringa.ambaye yupo tayari kwa biashara tuwasiliane kwa +255786711011.
 
...madalali wapo masokoni,nenda kaongeenao kabla hujaleta mzigo mkisha kubaliana tupia mzigo....
 
asante kwa ushaur,ila sasa tatizo linakuja kuhusu capital kwajili ya maandaliz hadi ufike sokoni.
 
Mkuu Kama Una watu DSM watume wakuulizie madalali watakufwata huko huko
 
asante kwa ushaur,ila sasa tatizo linakuja kuhusu capital kwajili ya maandaliz hadi ufike sokoni.

pole ndugu mwaka mbaya huu gunia 25,000 na bado mteja usimuone.....majangaa
 
supamaket 2500@kg hivyo gunia la 100kg=250000.tokomeza madalali na magunia.uza kwa kilo
 
Wapi huko mkuu? Kuna jamaa alienda pale Nakumati kuwauliza ili awaletee vitunguu wakamwambia gunia watanunua Kwa Tshs. 50,000. Unaona wizi huo? Ameamua kujenga banda lake huko mashambani asubiri bei ipande.
 
Habari wana JF

Naombeni kwa wanunuzi wa vitunguu maeneo ya Ruaha Mbuyuni na wanaotoka maeneo mengine,nina vitunguu red bombey nzuri,vipo ruaha mbuyuni wilaya kilolo iringa.ambaye yupo tayari kwa biashara tuwasiliane kwa +255786711011.

Mkuu unayo magunia mangapi na ungependa kuuza Kwa shilingi ngapi Kwa gunia?
 
Habari wana JF

Naombeni kwa wanunuzi wa vitunguu maeneo ya Ruaha Mbuyuni na wanaotoka maeneo mengine,nina vitunguu red bombey nzuri,vipo ruaha mbuyuni wilaya kilolo iringa.ambaye yupo tayari kwa biashara tuwasiliane kwa +255786711011.

Unatangaza biashara alafu unaweka no ya isiyopatikana 😏😏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…