International trade ni very complicated mkuu, na inahitajika uwe umepractise sana soko la ndani kwanza. Na kwa biashara inayo husu afya za watu ni balaa. Ingekuwa madini sawa. Na kwa South si dhan kuna cha kuwauzia, wale wako mbali sana na kilimo chao ni cha mechanization na gharama zao za uzalishaji ziko chini sana ni vigumu kushindana nao kwenye soko. Na wale wengi ni producer sasa huku wewe unategemea misimu wakati wao ni full time
Ni kweli mkuu saizi yetu ni Sudani, kwa Zuma wale hatuwawezi wako mbali sana. Na unatakiwa kujipanga vilivyo wale wanashindana na wakina Brazil. Na naamini bado kuna furusa kwa soko la ndani, na ili u trade international unatakiwa uwe umekidhi soko la ndani kwanza na ziada ndo inaenda nje
Ya wanachukua Mchele Magugu wanapaki na kupeleka South Sudani, vitunguu wanachukua kutoka Karatu
Hapo kwenye mchele na vitunguu ni pazuri bw malila...ila kama unafahamu kampuni au mtu anayepeleka mzigo ningefurahi zaid ili wadau tupate uelekeo wake.
Mchele, vitunguu nimesikia kuwa vinapelekwa S.Sudan na watoto wa Moi, kama unaweza kuchanga karaka zako vizuri, hapo ndo pa kuanzia.
Very good insight Chasha kwa
upande wa S.A kwa S.Sudani fursa bado ipo kubwa tu vijana
ichangamkieni
Tatizo Political situation y Sudan ni worying sana, fanya uchunguzi kwanza
Kwa asali lita moja bei yake ni S.S Pound 20 kwa masoko ya uraiani, kwa supermarkets ni S.S Pounds 45 ambayo ni sawa na Tsh 18,000/-