Biashara ya vyombo vilivyotumika

Biashara ya vyombo vilivyotumika

mobakha

Senior Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
100
Reaction score
21
Habari gani wakuu, za majukumu?

Natumai ni wazima wa afya, naishi Zanzibar naomba kuelimishwa vipi nitaweza kufanya biashara ya vyombo vilivyotumika, nataka kuagizia moja kwa moja kutoka nje ya nchi.

Natanguliza shukrani.
 
Mkuu siku shauri kuagiza vilivyotumika maana kupata vyombo vipya imekua rahisi hasa baada ujio wa mchina.

Kama unataka uwe unauza vyombo genuine basi tegea kipindi cha sale huko nje ndio nunua mzigo
 
Back
Top Bottom