mobakha Senior Member Joined Mar 7, 2014 Posts 100 Reaction score 21 Feb 16, 2022 #1 Habari gani wakuu, za majukumu? Natumai ni wazima wa afya, naishi Zanzibar naomba kuelimishwa vipi nitaweza kufanya biashara ya vyombo vilivyotumika, nataka kuagizia moja kwa moja kutoka nje ya nchi. Natanguliza shukrani.
Habari gani wakuu, za majukumu? Natumai ni wazima wa afya, naishi Zanzibar naomba kuelimishwa vipi nitaweza kufanya biashara ya vyombo vilivyotumika, nataka kuagizia moja kwa moja kutoka nje ya nchi. Natanguliza shukrani.
Unforgettable JF-Expert Member Joined Aug 1, 2019 Posts 5,584 Reaction score 12,461 Feb 16, 2022 #2 ehh
Avriel JF-Expert Member Joined Jun 25, 2017 Posts 4,950 Reaction score 5,378 Feb 16, 2022 #3 Ngoja waje
kedekede JF-Expert Member Joined Aug 21, 2016 Posts 5,313 Reaction score 7,714 Feb 20, 2022 #4 Vyombo aina gani?vya moto,vya jikoni au vya umeme?
Tajiri Kichwa JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 9,021 Reaction score 22,016 Feb 20, 2022 #5 Mkuu siku shauri kuagiza vilivyotumika maana kupata vyombo vipya imekua rahisi hasa baada ujio wa mchina. Kama unataka uwe unauza vyombo genuine basi tegea kipindi cha sale huko nje ndio nunua mzigo
Mkuu siku shauri kuagiza vilivyotumika maana kupata vyombo vipya imekua rahisi hasa baada ujio wa mchina. Kama unataka uwe unauza vyombo genuine basi tegea kipindi cha sale huko nje ndio nunua mzigo